win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 2,695
- 7,916
nataman kufanya diet ila vitu kama hivi ndo vinanirudisha nyumaðŸ˜,, basi kesho nitaipika mara ya mwisho alf nianze diet rasmi🥴🤣🤣🤣
nataman kufanya diet ila vitu kama hivi ndo vinanirudisha nyumaðŸ˜,, basi kesho nitaipika mara ya mwisho alf nianze diet rasmi🥴🤣🤣🤣
Ukiamua inawezaekana kabisa.Ila asubuhi ungepata kachai kaviungo Bila sukari Kwanza kabla ya juice ingependeza.asubuhi:; View attachment 3454670karoti,, tango, tangawizi na ndimu,,,
kkaka Mshana Jr nitafanikiwa kupunguza kitambi bila mazoezia🙈😅😅😅😅 au najidanganya
oooh asante sema sipendelei chai hata kidogo ila nitajitahidi kujaribu maana nia ninayoUkiamua inawezaekana kabisa.Ila asubuhi ungepata kachai kaviungo Bila sukari Kwanza kabla ya juice ingependeza.