Wandu wa kilingeni mnakula sanaa chapati tatu kha! Au na majini nayo yanakula humo humo🤣🤣🤣🤣
Wandu wa kilingeni mnakula sanaa chapati tatu kha! Au na majini nayo yanakula humo humo🤣🤣🤣🤣
Hii ni kitu sijawahi ipenda kula ata siku moja....mie nipe wali dagaa changanya na kisamvu au mandi mbuzi
Kuna makande ya nyama Swahili AI matamu kuzidi. Nilikula mahali, tangu hapo huwa nayatengeneza
Full English breakfast. Hivi hapo tumbo linameng'enya kipi !
Huu mpangilio unanikumbusha maneno ya Mwalimu wangu (wa Memkwa)
Okay, now I’m hungry 😭 That combo looks perfect!....
Kachomwa kachomeka