Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,490
- 203,180
😂😂😂 yan nadhani mpk sku nije kutumia ile oven. Nishasahau maelekezo niliyopewa dukanHalafu tunasubiri mrejesho wa cake ulisema utaoka kwa jiko lako
😂😂😂 yan nadhani mpk sku nije kutumia ile oven. Nishasahau maelekezo niliyopewa dukanHalafu tunasubiri mrejesho wa cake ulisema utaoka kwa jiko lako
😂😂😂😂😂😂 yan nadhani mpk sku nije kutumia ile oven. Nishasahau maelekezo niliyopewa dukan
Ugali kitu kingine kabisaNakufaje njaa jaman
Kama wanga nitaukuta kwenye wali 🤣
Ntaleta mrejesho😂😂😂
Ijaribu
Ntaleta mrejesho
Sana!!!Steak pekee sipendi.Unazipenda?
Not keto exactly, kind of low carb diet.
Hii umepikaje pikaje??
Huyu AI wako anazingua sana!!!!🤣🤣🤣
Hiyo ni supu tu na wali...nothing fancy!Hii umepikaje pikaje??
Steak ni nzuri kama ukiweza ku marinate vizuri halafu uka grill. Inakua so very yummy.Sana!!!Steak pekee sipendi.
Sounds good!💪🏾💪🏾
I knowww...ila mi bila mafuta I won't enjoy it fully!Steak ni nzuri kama ukiweza ku marinate vizuri halafu uka grill. Inakua so very yummy.
I like mutton ribs zikiwa fatty but I have to lay low for a few months. 🤣I knowww...ila mi bila mafuta I won't enjoy it fully!
Aisee AI anafuatalia maisha ya watu sana huyu🤣🤣🤣.Huyu AI wako anazingua sana!!!!🤣🤣🤣
🤤🤤I like mutton ribs zikiwa fatty but I have to lay low for a few months. 🤣
Wewe na yeye wote mnazingua!!!!🤣🤣🤣Aisee AI anafuatalia maisha ya watu sana huyu🤣🤣🤣.
View attachment 2913700
Yeah sure thing. Just keeping things on check after a long time of relaxation.🤤🤤
If you must, you must!👊🏾