DoneU bachelor una raha yake!
Ugali Dona,
Kachumbari,
Yai,
Chips kiasi
Kuku choma kiasi.View attachment 2847410
Exactly,inatoka na quality yake,ukichemsha labda ukitaka iwe soup.atii..................!
yani ni kwamba nachemsha maji ndipo naiweka humo kwa dk 10
si ndo hivo mkuu?
Hapo ushamfilisi jogoo wa watu,malizia mkia huo
Ugali nyama.
Mbadala mzuri wa ugali wa muhogo na nyama. Sema huku usukumani shrimp tunasikia kwenye radio.
Mkia upi?Hapo ushamfilisi jogoo wa watu,malizia mkia huo