Uzi wa vyakula tu

26efd1d1bdebd4f8ae7bdd45a33dbcfe.jpg

Karibuni cha usiku !
Hii ngoma kama inakaranga bonge moja la msosi vitu vyangu pili pili ya kutosha kama upo India 😳🤣🤣🤣
 
Dah.. sijawahi jua aisee
Me napikaga robo robo tu 😁
Ila la lita 6 nadhani ni mpk 2.5-3kg
Na kuna makubwa ya lita 8

Nilinunua huku Arusha, 180k nadhani.. ila huko Dar inaweza pungua.
180k ilikuwa la lita ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom