Hii Combo na iheshimiwe na Watu wote. 🙌
nestle, uji, cornflakes....
nestle, uji, cornflakes....
depal depal depal
mimi nakula mataputapu🤣Sijawah kuona picha yako humu kwani we huwa hauli
mimi nakula mataputapu
huoni watu wanaapost vitu vitamu
mara moja moja nawekaga mbona😂 pita pita huko juuTuyaone hayo mataputapuvinginevyo utakua mchoyo tu hautaki watu tule kwa macho eeh
mara moja moja nawekaga mbonapita pita huko juu