View attachment 2714826kazi tunafanya kwa shida lazma tule kwa afya
Kabisa chief.Kienyejii
Pole...Hawa mbuzi juzi nimeorder pizza ya 25,000 ikaja katoto pizza
Ajaribu na BBQ au Caeser pizzaukiweza ujaribu na peperoni utaipenda sana😅 ndo mother of all pizzas
Unakula sana na wewe.
Unakula sana na wewe.
Nilitaka kusema umezidi urohoo dinazardeSio peke yangu😂
kumbe na wewe unatumiaga hizi anasa😋Ajaribu na BBQ au Caeser pizza