Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Good afternoon.
291932F0-800C-4F6E-A52A-4B7AB424CFF7.jpeg
 
Ww unakuzwa nn mkuu embu tueleze 😅😅😅
Tulia mtoto wangu. Nimekuzidi zaidi ya miaka 25.

Nina mtoto wa miaka 18. Sasa mimi nijikuze na nini? Usipende kuwaquote wazazi wako.

Hilo andazi lenyewe unaweka juu ya daftari. Hujui kujitunza? Tafuta chombo kisafi weka maandazi yako.

Daftari ni kwa ajili ya kujifunzia. Si kiwekeo cha maandazi.
 
Kumbe umenizidi miaka yote hiyo sasa ya nn kubishana na mwanaume wa chuo na huyo mmama mwenzio Depal 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unateseka ukiwa wapi
 
Tulia mtoto wangu. Nimekuzidi zaidi ya miaka 25.

Nina mtoto wa miaka 18. Sasa mimi nijikuze na nini? Usipende kuwaquote wazazi wako.

Hilo andazi lenyewe unaweka juu ya daftari. Hujui kujitunza? Tafuta chombo kisafi weka maandazi yako.

Daftari ni kwa ajili ya kujifunzia. Si kiwekeo cha maandazi.
😂😂
 
Back
Top Bottom