Mahindi tu unamix na sembe kama Kawa.Mahindi Kande?
Exactly ๐ฏ๐ฏDinner
Exactly [emoji817][emoji817]
Hahaha. Mwendo wa kujaza mi mboga tuIla iyo nguna umeifunika mnoo bila kuzoom nilihis sijui unakula vitu gan vile[emoji2]
Hahaha. Mwendo wa kujaza mi mboga tu
Nguna inateleza tu [emoji475][emoji475][emoji475]. Kwenye ulimi [emoji16]
Tena mi bado kijana mbichi magonjwa yatanipita tu hivi ๐๐๐๐๐Uhakika mkuu apo kweny kuona mbali ni kugusa tu haina haja ya miwani
Haiya bas!๐๐๐
Usually happens when I have a late lunch after skipping breakfast.
Kwanini???Unafanya kazi UN?
Where your lunch ๐ธ at???Haiya bas!
Patia "late lunch" simu tuongee na yeye๐๐
Unaishi kama ikulu ndogoKwanini???
Hataa...kawaida tu.Unaishi kama ikulu ndogo
Shafika bi mkubwa portion yetu ileile๐