Mahindi tu unamix na sembe kama Kawa.Mahindi Kande?
Exactly 💯💯Dinner
Exactly![]()

Hahaha. Mwendo wa kujaza mi mboga tuIla iyo nguna umeifunika mnoo bila kuzoom nilihis sijui unakula vitu gan vile![]()
Hahaha. Mwendo wa kujaza mi mboga tu
Nguna inateleza tu. Kwenye ulimi
![]()
Tena mi bado kijana mbichi magonjwa yatanipita tu hivi 👉👉👉👉👉Uhakika mkuu apo kweny kuona mbali ni kugusa tu haina haja ya miwani
Haiya bas!😀😀😀
Usually happens when I have a late lunch after skipping breakfast.
Kwanini???Unafanya kazi UN?
Where your lunch 📸 at???Haiya bas!
Patia "late lunch" simu tuongee na yeye😁😁
Unaishi kama ikulu ndogoKwanini???
Hataa...kawaida tu.Unaishi kama ikulu ndogo
Shafika bi mkubwa portion yetu ileile🍕