Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Fanya kumtafuta mkali zaidi yake, yaani kwenye kila engooo. Utanishukuru badaeMpango upi? Hapa ndipo napokupendea, enhe!!
Fanya kumtafuta mkali zaidi yake, yaani kwenye kila engooo. Utanishukuru badaeMpango upi? Hapa ndipo napokupendea, enhe!!
Hapo sawa maana kuna mtu anataka aniletee kitanzi kipya piruuBado tunakuhitaji aisee
Ukiwa na njaa harufu itatoka wapiMh serious? Huyo bata alikuwa anaumwa au
Me sijawahi pata shombo

Sema mandazi ya huyu yana nyama alafu matamFanya kumtafuta mkali zaidi yake, yaani kwenye kila engooo. Utanishukuru badae
Jamani 😂😂😂Ukiwa na njaa harufu itatoka wapi![]()
😂 Ngoja ninyamazeMh serious? Huyo bata alikuwa anaumwa au 😂
Me sijawahi pata shombo
Nayapenda ukichanganya na nyama ya kusaga tamu sana😋😋
Hapa nawaza kama mama ntilie bado hajaosha vyombo 😶🌫️😶🌫️Usitufanyie hivyo chef mkuu 🥰
Me yai ambalo siwezi kula kwa kuchemsha ni la kisasa😂 Ngoja ninyamaze
Si upike au ndio utatupikia maajabu 😂Nusu ach uchoyo nipe moja au mawili
Ndio nimenyamaza mamaMe yai ambalo siwezi kula kwa kuchemsha ni la kisasa
Yan siweziii
Ila kienyeji
Ndo napenda la kuchesha
Na bata kiini chake kitamu, me sijawahi sikia shombo.
Unyamaze tu
😋 1 day yesNayapenda ukichanganya na nyama ya kusaga tamu sana😋😋
Note: Nyama usage mwenyewe home, sio ya kununua ishasagwa.
Hiyo ilinishinda sijui hua wanachanganya vitu gani ladha inakua mbaya
Hapo kwenye nyama ndio kaonyesha ye mkali.Sema mandazi ya huyu yana nyama alafu matam
Upike kesho😋 1 day yes
Haya chukua 🤏🥖Saweni tu![]()
Sema nipikiwe keshoUpike kesho
Huwa wanasaga yale manyama mabaya mabaya. Dawa yao ukifika chagua nyama mwenyewe ndo wakusagie.Nayapenda ukichanganya na nyama ya kusaga tamu sana😋😋
Note: Nyama usage mwenyewe home, sio ya kununua ishasagwa.
Hiyo ilinishinda sijui hua wanachanganya vitu gani ladha inakua mbaya
Kwani ushampata mwingine mara hiiSema nipikiwe kesho