Umeishakuwa fundi. Ipo vizuri
Bado kupamba sasaUmeishakuwa fundi. Ipo vizuri
Ndo zimetoka jikoni mda huu hapo bado ka Chai ka maziwa kenye tangawizi na karafuuu na source yake ya pilipili mwendokasi na Nazi.View attachment 2514361


Ukifanya mazoezi ya kupamba mara kwa mara mbona utakuwa sawaBado kupamba sasa
Mkono mzito sana