Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,845
- 16,094
Dah.. Kaka pale kuna fitna zilipita nikapafunga, sipo tena. Nahisi kuna mtu alizunguruka kwa mwenye eneo lake.
Pole sana mkuu huna mpango wa kufungua mahali pengine
Dah.. Kaka pale kuna fitna zilipita nikapafunga, sipo tena. Nahisi kuna mtu alizunguruka kwa mwenye eneo lake.
Nina plan ila kwa sasa mambo ni shaghala bagala kaka, kuna matukio yamefuatana kiasi sasa hivi napumulia mipira mkuu.Pole sana mkuu huna mpango wa kufungua mahali pengine
Nakuja hapo, tester mwenye degree zangu. 😂
Nakuja hapo, tester mwenye degree zangu.![]()
Nakuja na uzi wa liverpool 2004/2005 mgongoni nimeandika MAKAVELI Jr.


Nina plan ila kwa sasa mambo ni shaghala bagala kaka, kuna matukio yamefuatana kiasi sasa hivi napumulia mipira mkuu.