Dada uko maeneo gani nimtume boda nipate hata kipande tuu, hahahhaaa happy new year mamaa wa cakes more misosi and more cakesHappy new year fam
More misosiView attachment 2464985
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nipo hapa Kimara vijijini 🤣Dada uko maeneo gani nimtume boda nipate hata kipande tuu, hahahhaaa happy new year mamaa wa cakes more misosi and more cakes
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimara na mbezi mwisho hapa karibu, i swear ipo siku utaona nagonga hodi mlangoni, nimefikaje na kukujua vipi hutajua aisee.Nipo hapa Kimara vijijini
Ya Leo kubwa, halafu strawberry Mimi sipendi sana
Mbezi mwisho napita huko churchKimara na mbezi mwisho hapa karibu, i swear ipo siku utaona nagonga hodi mlangoni, nimefikaje na kukujua vipi hutajua aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbali nilipo, nipo malamba mawili Makuti huku jamani....nmepishana na vitu vitamu hivi hivi.Mbezi mwisho napita huko church
Ni mtaa gani nimuagize mtu akupitishie?
DuhMbali nilipo, nipo malamba mawili Makuti huku jamani....nmepishana na vitu vitamu hivi hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa Kimara vijijini 🤣
Ya Leo kubwa, halafu strawberry Mimi sipendi sana
HahahahUzi mzuri sana huu..ila ukiwa na njaa skushauri uupitie huu uzi
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app

Kamsosi ka hamuDinner! Vi dagaa kamba, kasamaki, Dona, kachumbari na mayonnaise Kwa mbalii View attachment 2463818

Vingine tupeane locationTukiendelea kusubiria mwaka mpya 2023View attachment 2464869View attachment 2464870
