Mamantilie typically! Niwekee cha kushiba!!
Dah.. Unaitesa minyoo yangu ujueNa hii mvua..View attachment 739068
Itakuwa cha kukatia njegere ichoIcho kisu unakatia nini miss
RubiiKimimi
Hicho kisu ni kwa ajili ya kusindikizia ubwabwa ukae vizuri kwenye fork!Icho kisu unakatia nini miss
RubiiKimimi
Uchoyo tu huoBreakfast yangu ilikuwa hivi, samahani sikuweza kuwakaribisha kutokana na matatizo ya mtandaoView attachment 741062
Umentamnisha Mimate hyoooo
Senene hizi dah nazimissBreakfast yangu ilikuwa hivi, samahani sikuweza kuwakaribisha kutokana na matatizo ya mtandaoView attachment 741062