umenikumbusha kule kwetu mlaloKiasili zaidiView attachment 2187165

Unakula kidogo hvyo unashiba kwel vyakula vitamu afu najkatili amnaaaa
Basi kesho ntakula mpaka nishindwe kupumua 😁Unakula kidogo hvyo unashiba kwel vyakula vitamu afu najkatili amnaaaa
Hata mtoto mdogo kipimo hiki hashibi
Nataka nikupe offer ya sahani.
Huu ni mlo wako au umeshamaliza?