BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Ndiyo Darmian. Mbona ni kingi sana. Wewe usingeshiba? hahahahaKweli??
Mtori huo ukakushibisha hivyo ulivyoeleza?
Ndiyo Darmian. Mbona ni kingi sana. Wewe usingeshiba? hahahahaKweli??
Mtori huo ukakushibisha hivyo ulivyoeleza?
Chapati zaidi ya moja kwa mlo ni mtihaniChapati moja?
Kwa asubuhi ningeshiba ila nisingeshiba sana hadi kufikia kusema "Nimeshibaje".Ndiyo Darmian. Mbona ni kingi sana. Wewe usingeshiba? hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]hii sahani vipi tena mkuu si ununue nyingine
Kwa mama ntilie😁[emoji23][emoji23][emoji23]hii sahani vipi tena mkuu si ununue nyingine
Ehe sawa[emoji23]Kwa mama ntilie[emoji16]
Mbona yametoka vizuri tu mpenzi 🤗Walah kupika kipaji sio kila mtu anacho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lizzy
View attachment 2107394
Supu nono😋Usiku wetu ukawe mnonoView attachment 2107959
Ladha iko poa ila muonekano sasa[emoji12]Mbona yametoka vizuri tu mpenzi [emoji847]
Ladha ilikuwaje???
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾Ladha iko poa ila muonekano sasa[emoji12]
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490]
Muonekano utaupata with experience [emoji846]
Ndio umepika vikatuni gani hivi!!? [emoji2377][emoji2377][emoji2377][emoji2365][emoji2365][emoji2365]Walah kupika kipaji sio kila mtu anacho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lizzy
View attachment 2107394
Umenitoa mate! Wapi hii?