Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,301
- 11,839
Nyama haipo? UbatiliVyakula bora vya muda wote.
View attachment 2016602
πππHivo vitunguu swaumu,vitunguu maji na tangawizi vinapaswa kuliwa vikiwa vibichi.Nyama haipo? Ubatili
Hilo soursop ndo stafeli mkuu??Vyakula bora vya muda wote.
View attachment 2016602
Ndiyo mkuuHilo soursop ndo stafeli mkuu??
Ugali wa Muhogo kwa Chukuchuku ndiyo Mboga yake, mbona udenda unanichuruzika hapa yaani nimetoa Ulimi kama Mbwa.
ZuriPilau la kenyaπ€€
View attachment 2016776
Hoooraaay!
Nina muda mrefu sijautia kinywaniUgali wa Muhogo kwa Chukuchuku ndiyo Mboga yake, mbona udenda unanichuruzika hapa yaani nimetoa Ulimi kama Mbwa.
ππNipo Dar sasa, wapi naweza kuja niuone huo mkono live!?Hoooraaay!