Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Mie pia!☺☺Delightful! & I miss you Lizzy.
Basi karibu tule, kujuliana hali na mengineyo isajorsergio 🙂
Mie pia!☺☺Delightful! & I miss you Lizzy.
Usisahau kutupiamo hapa nasi tuige mealsMeamka na mood kabisa leo..ngoja niendelee utanikuta January ntakuwa naku motivate

Hivi kisamvu na pilau huwa vinanoga?
Kwanini



nyama au samaki Ukitia viungo( vitunguu saum, tangawizi, masala) ongeza mafuta kidogo na mtindi vjk viwili inalainika na kunoga
Ukikosa vanila unaweza saga Ganda la limao bichi kuleta harufu nzuri kwenye keki au chapati maji
Chapat ukiógeza kdg nazi ya unga na ukakandia maziwa chapati inakuwa zaid ya nzuri
Ukitaka chips au ndiz ziwe nzuri, chemsha kdg dk 5 ipua zichuje maji then weka kwenye freezer. Ukitaka kukaanga toa pasha mafuta choma usisubiri zitoke barafu, utastaajab radha yake
Ukiona mafuta yamekuwa mengi kwenye supu au mchuzi tumia mkate wa siles kupitisha juu kufyonza
Ukitaka maharage yawe na rojo zuri,baada ya kubandika tia mafuta ya kupikia yaivie pamoja
Ukitengeneza juice ya rosela au ubuyu unaweza weka mchaichai pale unapochemsha juice inavutia sana
Ukipika matembele ukiweka tangawiz na pilipili manga yanakuwa matamu balaa
Juice ya parachichi weka ndimu au limao utaipenda
Ukitaka samaki wabichi wasivurugike au kung'ang'ania wkt wa kukaanga. Wapake unga wa ngano wakolee halafu kaanga ni watamu mno
Ukitaka kubadili pishi la wali weka kitungú maji, saumu na iliki kdg wkt wa kuchemsha maji then yachuje halafu pika wali wako unanukia balaa
Kama unatumia gesi kupikia wali, jaribu tumia maji ya baridi kupikia mchele unanoga hasa
Ukitaka utumbo uive haraka weka limao pekee bila chumvi kwa yatke maji ya kwanza.Rosela na chungwa 😋🥰 ni nzuri Sana.Ukitengeneza juice ya rosela au ubuyu unaweza weka mchaichai pale unapochemsha juice inavutia sana