Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Pilau la kenya🤤
ZuriPilau la kenya🤤
View attachment 2016776


Hoooraaay!















Nina muda mrefu sijautia kinywaniUgali wa Muhogo kwa Chukuchuku ndiyo Mboga yake, mbona udenda unanichuruzika hapa yaani nimetoa Ulimi kama Mbwa.
![]()
😁😁Nipo Dar sasa, wapi naweza kuja niuone huo mkono live!?Hoooraaay!
![]()
Wewe sawa na mimi ni miaka mingi imepita sijautia mdomoni, kwa kweli nina hamu sana ya Ugali wa MuhogoNina muda mrefu sijautia kinywani
Hizi ndio mboga za Ugali, safi sana.
We ukiwa Rais, mlinzi wako atapata tabu sana..


Safi sana.
![]()
Hahhaha kwanini