Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Mwanamke na mapishi ni samaki na maji
Hebu tuone pishi lako sio maneno mengiii
Mwanamke na mapishi ni samaki na maji
Ila huu Uzi nimeamini watu wasemayo kwamba wanaume wanajipenda na ni wachoyo sana kwenye kula, yaani Uzi umejaa wanaume tu wakipost vyakula vizuri na wengi sana wakionekana wako vinakouzwa hivo vyakula na sio nyumbani kwa wife.. Hapo unakuta wife anashindia ugali na matembere mwanaume nje anapiga mbuzi choma nusu na mazagazaga kibao![]()
![]()
wanaume Mungu anawazoom..

Njoo tu. Muhimu uage unakuja ChamakwezaSijui nije..
Acha uhuni wewe!!

Yaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.Naacha mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.
Vijana wa dar hao mkuuYaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.
wengine kweli hadi ile yenyewe

Hatari SheikhVijana wa dar hao mkuu![]()
![]()
wengine kweli hadi ile yenyewe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
VyediChamdekoooo uuwiii View attachment 717554
JamanChamdekoooo uuwiii View attachment 717554





mme wangu
wacha nikupige ngumi za kimahabaShushia na hiiChamdekoooo uuwiii View attachment 717554