Yna aika
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 350
- 1,020
Huyu naeMiddle. Tuonane usikuView attachment 1951988
Hakiungui ni caramelized onion.
Inaunguzwa brown sugar unatupa vitunguu ndani unazungurusha maji kidogo ewaa then tupia popote.kuku ,samaki,pork
Karibu kiongoziMembers habari zenu niliwamiss sana, kiufupi majukumu yalinikeep bize kiasi kwamba sikuwa naingia humu, tuko pamoja!![]()
Naja naja
wahi kabisa na chapati mchambuko 🤣Naja naja
Ongeza ugali
Ama kwa hakika Daslamu sio Mbeya.
Mambo matamu, itabidi uje 001 tutoe kitu ka hichi...😂
Karibu tule mkuu.Mambo matamu, itabidi uje 001 tutoe kitu ka hichi...😂