Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Soak maini kwenye maziwa kwa 10mnts utapata ya taste amazing
Hili tunda linaitwaje?Kule kwetu huwa yanastawi sana lakini sijui jina lake kwa kiswahili,najua jina lake kwa kilugha tu.
sijui kwa kiswahili pia.najua jina la kilughaHili tunda linaitwaje?Kule kwetu huwa yanastawi sana lakini sijui jina lake kwa kiswahili,najua jina lake kwa kilugha tu.
Haya si ni ma passion fruit, kuna haya na yale mengine yako yellow, lakini haya ndio matamu aisee, yaani hadi tembe... 😂
Karakara/pesheni... Mkarakara/mapesheniHili tunda linaitwaje?Kule kwetu huwa yanastawi sana lakini sijui jina lake kwa kiswahili,najua jina lake kwa kilugha tu.
Siyo pesheni fruit.Pesheni fruit ni hili hapa👇Huoni ni tofauti kabisa na hilo tunda hapo?Hilo hapo juu ndani kunakuwa ni kweupe lakini pesheni ndani siyo kweupe.Karakara/pesheni... Mkarakara/mapesheni
Futa jingi mno!
Baada ya hapo unagida valeur sio?..safi.
Baada ya hapo unagida valeur sio?..safi.


nakumbukia enzi kaka