Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,439
Mkuu hicho kitunguu swaumu unatafuna pia???Na maziwa sometimes yawepo hata Kama Ni ya all-muddhish yanapunguza punguza sumu zetu zile za maniaje zetuView attachment 1911480
Samaki wa kuchemsha sio
Unataka kama hiki?πππ
Wewe ulivyo mwembamba ukipata kitambi lazima ufananie hiviππππ
Mkuu huo mkate ni ule ambao unga wake haukobolewi nije kushiriki?πππWenyeji wa huu uzi hamjaamka au? View attachment 1912235View attachment 1912237
Kabisa ni ule na asali kidogo, karibu. Ila uache kutusagia kunguni kule. πMkuu huo mkate ni ule ambao unga wake haukobolewi nije kushiriki?πππ
Hahahaha...