Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,527
- 81,250
Sijui nikuwekee ile picha ya Askari uliyoiweka selfikaTulishapiga marufuku mambo ya kupost sembe!![]()

Inabidi nijitahidi niweze kunywa hayo maji.Body weight vs amount of water needed per day:
Huu ni mtihani mkubwa sana kwa watu wengi sana hadi kwa mtaalam wetu wa mambo ya lishe bora Bwana ndege JOHNView attachment 1886843
Una kilo ngapi?Inabidi nijitahidi niweze kunywa hayo maji.
ChacheUna kilo ngapi?
Na si unajua utaratibu wa kunywa maji?Siyo unamalizia kula then unabugia maji!Chache
Nakunywa maji nusu saa baada ya kula.Na si unajua utaratibu wa kunywa maji?Siyo unamalizia kula then unabugia maji!Ukifanya hivyo unapata hasara kuliko faida.

Vipi kuhusu hii?👇Nakunywa maji nusu saa baada ya kula.
Ila kiwango Cha maji ninachokunywa ni matatizo
Lita 2 sifikishi kwa siku
Siwezi kunywa maji Nikiwa na njaa.
Unapingana na sayansi?Siwezi kunywa maji Nikiwa na njaa.
Siwezi kunywa maji kabla sijala.
Mtakatifu unapost vitu vyangu bila kunistua!? Sio poa
Sijapingana nayo ila nimeshindwa kuifwata.Unapingana na sayansi?
Karibu bossMtakatifu unapost vitu vyangu bila kunistua!? Sio poa
Nimeona Al - Mudhish
المذ هش!