Uzi maalumu wa maandamano 7/7

Uzi maalumu wa maandamano 7/7

Maaskari wamewakilisha vema sana.Wameandamana kabla na hata baada ya 7/7 wataendelea kuandamana kwaeutii na bidii kubwa sana.Ujumbe umefika sehemu lengwa.
Lengo halikuwa askari waandamane. Kama waliopanga kuandamana wameshindwa kutimiza agenda yao wakubali kwamba wamefeli big time.
 
Wako busy kufuatilia kwenye Nyuzi matako yao hakuna mwenye pumbu za kuandamana nchi hii.
Wapuuzi,,
Vidonda bado vibichi vya 29 oct yalivyokuwa mapunguani yanatangaza maandamano na hayajui nani ataandamana.
 
Hivi agenda kuu ya maandamano ni nini?
 
it's public holiday,
ni muhimu kupumzika nyumbani na hatimae baadae kujitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya maonyesho ya kibaashara ya kimataifa sabasaba na itapendeza zaidi 🐒
Gentleman!
Umeanza lini kupangia watu ratiba?...
MInd your own business.
 
IMG20260707084752.jpg
IMG20260707084749.jpg
 
Wapuuzi,,
Vidonda bado vibichi vya 29 oct yalivyokuwa mapunguani yanatangaza maandamano na hayajui nani ataandamana.
Punguza hasira...anaetakiwa kutatua hili anajijua ila ameamua kukaa kimya...nchi inaumia sana..
Poleni watanzania.
 
Gentleman!
Umeanza lini kupangia watu ratiba?...
MInd your own business.
nimefurahia wana dar es salaam wame dinda kubebwa ufala wa kifikra na chadema eti wakafanye maandamano haramu ya ghasia 🐒
 
Hizi athari za kiuchumi wanaoathirika ni Masikini ambao wengi wamebaki nyumbani bila kufanya kazi.


Muda mwingine Hawa wanaharakati uchwara wawe wanatumia akili sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom