Uzi maalumu wa maandamano 7/7

Uzi maalumu wa maandamano 7/7

Achana na maandamano mzee fanya kibarua chako pata unga kale na wanao hilo ndio fungu lako kutoka kwa mola wako... siasa na biashara hapo wanasubiri wewe ufe halafu wanasiasa waitane Ikulu kujadili namna ya kula keki ya taifa baada ya wewe kufa
huelewi nguvu ya umma bado.
 
Good
 
Ukikuta wanavyopiga mikwara humu unaweza sema kitanuka kweli kweli.
Watu wanafiki sana humu, mnataka nani akawaandamie?? Haya toeni hizo pua zenu,, maisha hayajaribiwi matako yenu.
 
Hii imeathiri uchumi watu wanaogopa daah maandamano 1 serikali 0 . Kuna haja ya kumaliza tofauti zilizopo kushindana hatujengi nchi.
 
Ukikuta wanavyopiga mikwara humu unaweza sema kitanuka kweli kweli.
Watu wanafiki sana humu, mnataka nani akawaandamie?? Haya toeni hizo pua zenu,, maisha hayajaribiwi matako yenu.
Kinaweza kisinuke ila inaathiri uchumi kama umekaaa Dar 7 7 haiwi hivii
 
Ukikuta wanavyopiga mikwara humu unaweza sema kitanuka kweli kweli.
Watu wanafiki sana humu, mnataka nani akawaandamie?? Haya toeni hizo pua zenu,, maisha hayajaribiwi matako yenu.
Wako busy kufuatilia kwenye Nyuzi matako yao hakuna mwenye pumbu za kuandamana nchi hii.
 
huelewi nguvu ya umma bado.
Acha mawazo ya kijinga
Hakunaga nguvu ya umma Afrika hii.
Pangekuwa na nguvu ya umma wale jamaa wachache wasingeweza kuwadhibiti wananchi wote nchi nzima ndani ya siku tatu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom