Hawa jamaa kitengo cha masijala kinawafaa sana utadhani wote walisoma record management.Wana siri nyingi za mke wako.
Ukiongea nao vizuri utajua nyendo zote za memsapu wako kutoka kwa 'boda wake'.
Ila hii mzee wangu unaweza kujikuta unapata ugonjwa wa akili bora usiwaulize maana wale hata style yao yakusimulia story inaweza kukupa stress zaidi ๐๐Wana siri nyingi za mke wako.
Ukiongea nao vizuri utajua nyendo zote za memsapu wako kutoka kwa 'boda wake'.
๐ฟWana siri nyingi za mke wako.
Ukiongea nao vizuri utajua nyendo zote za memsapu wako kutoka kwa 'boda wake'.
Wanawake 8 kati ya 10 hawakosi namba ya bodaboda kwenye simu zao.Wana siri nyingi za mke wako.
Ukiongea nao vizuri utajua nyendo zote za memsapu wako kutoka kwa 'boda wake'.
HapanaNi kweli kabisa ila huwa najiuliza labda miundo mbinu ya barabara haijawapa fair sana so wanajipitia tu popote.
Pole sana mkuuNimepitia kwa demu wangu fulani aliniagiza nimpelekee mzigo fulani kutoka mjini, nikaenda na boda, nikakabidhi mzigo kisha nikaondika nae yule boda njiani akaniuliza yule mwanamke ni nani yako? Nikamwambia ni mke wangu mtarajiwa, akastuka! ..
Akauliza unasema kweli? Nikamjibu sitanii nasema ukweli.. akajibu daah!
Nikapata udadisi wa kumuuliza kulikoni mbona kama kuna jambo hakiko sawa?
Akaniambia bro! Kama ni kuoa achana nae, kama unamtumia endelea nae..
Sikumuelewa nikamuuliza kwanini? Akaniambia kwamba yule mwanamke ni mchumba wa daktari mmoja hivi wa hospitali ya rufaa, na pale home yeye ameshafika mara nyingi tu na wanafahamiana vyema na yule mwanamke.
Kabla hatujakaa sawa mwanamke akapiga kwenye simu ya boda akimuuliza vipi umeshamshusha huyo kaka, akamjibu ndio, mwanamke akamsihi boda asiseme chocchote kama wanajuana.
Walipomaliza maongezi boda akanieleza jinsi alivyoagizwa.
Nilimshukuru sana kwa kunisanua, lakini niliumia sana
HahahahaNimepitia kwa demu wangu fulani aliniagiza nimpelekee mzigo fulani kutoka mjini, nikaenda na boda, nikakabidhi mzigo kisha nikaondika nae yule boda njiani akaniuliza yule mwanamke ni nani yako? Nikamwambia ni mke wangu mtarajiwa, akastuka! ..
Akauliza unasema kweli? Nikamjibu sitanii nasema ukweli.. akajibu daah!
Nikapata udadisi wa kumuuliza kulikoni mbona kama kuna jambo hakiko sawa?
Akaniambia bro! Kama ni kuoa achana nae, kama unamtumia endelea nae..
Sikumuelewa nikamuuliza kwanini? Akaniambia kwamba yule mwanamke ni mchumba wa daktari mmoja hivi wa hospitali ya rufaa, na pale home yeye ameshafika mara nyingi tu na wanafahamiana vyema na yule mwanamke.
Kabla hatujakaa sawa mwanamke akapiga kwenye simu ya boda akimuuliza vipi umeshamshusha huyo kaka, akamjibu ndio, mwanamke akamsihi boda asiseme chocchote kama wanajuana.
Walipomaliza maongezi boda akanieleza jinsi alivyoagizwa.
Nilimshukuru sana kwa kunisanua, lakini niliumia sana
Wakatae kabisa, wasiingilie maisha yetu, sawa ehh!Kuna muda hao boda boda wenyewe ndiyo wanatutaka sisi wake za watu, mimi sipendi kabisa mazoea nao maana siku mbili tu ukiwa unamuagiza unashangaa anaanza kukutongoza
๐๐๐uwiii unanichekeshaWakatae kabisa, wasiingilie maisha yetu, sawa ehh!
Mapenzi ni ya wawili...
Boda boda swapendi kwa hakika.๐๐๐uwiii unanichekesha
Kuwa nao makini wasimle mkeo๐๐Boda boda swapendi kwa hakika.