Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Mkuu Hao naioth singer Nina album yao yote.. Sema nashindwa weka, yaani Ku upload
Kama unatumia jamii forum app ni ngumu ku-upload inatakiwa uingie kwa kutumia browser ya kawaida (eg chrome, mozilla). Kama bado itasumbua ni quote nikutumie namba unirushie kwa whatsapp
 
Wakuu Heri ya Pasaka,
Naomba mwenye wimbo wa Matilda Mlay Jojo ujulikanao kama UNAWEZA TENA auweke humu.
 
Wakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!
Kuna kikundi cha kwaya sikikumbuki waliimba nyimbo hii " Ng'oa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako" nyingine ilienda hivi "Yesu alitembea kando ya galilaya aliwaona wavuvi simon mmoja wao. Simon Yesu alimwita, Simon, Simon Simon nifwate utakuwa mmoja wao...." 80s nilikuwa mdogo sana maneno nyimbo zilikuwa nzuri sana
 
Kuna wimbo unaimbwa
Katika maisha yetu bwana yesu ni jawabu katika shida zetu ndiye yeye bwana wetu tusifadhaike.
shida zetu zoye yesu ata zibariki na kutupa raha nyingi siku zote.

Huu wimbo mwenye nao naomba hautupie na anayejua eameimba kwaya gan anisaidie.
Wimbo unaitwa Shida na Matatizo, uliimbwa na AICT Shinyanga Choir 1997, nikiupata nitauweka
 
Jitaid umalizie hizo zilizobaki maana zimenikumbusha mbali nyimbo hizi. Chonde chonde ukiweka bando malizia.
 
Wadau.. Majukumu yalibana, na mishe za Pasaka.. Nimemalizia mzigo
 

Attachments

  • siku ya kuja.mp3
    4.7 MB · Views: 204
  • ayoub.mp3
    4.8 MB · Views: 196
  • tupendaane.mp3
    3.9 MB · Views: 178
  • yerusalemu.mp3
    3.9 MB · Views: 184
  • watulizeni mioyo.mp3
    4.4 MB · Views: 155
  • 25 desemba.mp3
    4.3 MB · Views: 155
  • mji mtakatifu.mp3
    4 MB · Views: 172
  • maombi ni lazima.mp3
    3.9 MB · Views: 177
Back
Top Bottom