Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

mkuu hii inananikumbusha zama hizo bush,bimkubwa alikua anaificha hii kanda ili tusiiharibu
hahaha,kweli mkuu mimi ndio kumbukumbu ambayo nikiskiza nakumbuka vitu mama alikua anafanya enzi za uhai wake (R.I.P)
 
hahaha,kweli mkuu mimi ndio kumbukumbu ambayo nikiskiza nakumbuka vitu mama alikua anafanya enzi za uhai wake (R.I.P)
duuh,pole mkuu kwa tukio hilo la kumpoteza bi mkubwa.ila kwaya za zamani zilikua kwaya kweli sio hawa wacheza shoo wa zama hizi kazi kelelee tuuu
 
a
duuh,pole mkuu kwa tukio hilo la kumpoteza bi mkubwa.ila kwaya za zamani zilikua kwaya kweli sio hawa wacheza shoo wa zama hizi kazi kelelee tuuu
asante mkuu,kuna zile kwaya zilikua zarekodi redio habari maalum arusha. hakika zinabariki sana
 
kwa mwenye wimbo wa "nini maana yake" wa ngorongoro hosiana choir anisaidie pls
 
Mkuu salaam,nilivamiwa na vibaka wakachukua cm zote na vitu vingine,sasa naomba tena ule wimbo wa (mchaka mchaka mkimbilie Yesu)
 
Habari za leo wadau! naomba kama kuna mtu ana audio za nyimbo za muimbaji SARAH K aziweke hapa ni download. Huyu SARAH K ana album 4 (milele daima, nili na ameni, Best 1 na Myles Bigelow Vinyl Remixes)

Tafadhari mwenye audio zake anisaidie
 
UFUNUO CHOIR KUTOKA MBEYA MWENYE ALBAM YAO ILE YENYE NYIMBO KAMA 'ILIKUA SAA SITA AA..IKAFIKA SAA TISA AAA YESU KAKATA ROHO.......
 
Flashback Year 1997

Vumilia - Amana Vijana Centre (AVC)Band


This song is dedicated to all YOUTH, it was composed 1997 by Daniel Kyara (among AVC Band leaders) for AVC Band , the Band use to serve youth at AVC - Amana Vijana (youth) centre...The song became so popular in Tanzania and beyond - played in famous radios e.g Radio Tanzania, Radio one, Radio wapo etc also was put in as a backing music in some Bongo movies for tv!.
Source: Abel Orgenes
 
Wakuu mwenye wimbo wa kisabato wa zamani kidogo uliimbwa na kurasini choir unasema hv "WANAHANGAIKA HUKU NA KULE, HAKUNA AMANI.....""


Na mwingine wa SAUTI ya jangwani wa zamani kidogo unaitwa MOTO CHOMA/MAZISHI YA SHETANI YATAKAPOFANYIKA.
 
Back
Top Bottom