Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN


ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Nimeamka saa 05:38
Kisha nikanywa mchanganyiko wa asali na limau
Baada ya hapo nikaingia katika tafakuri kwa dakika kumi (haikuwa deeply Sana)
KISHA Nika fanya mazoezi
Squats 50
Push ups 40
Kisha nikaoga Kisha kituoni kugombania gari na wananchi wenzangu
1557978086209-jpeg.1098936
seat ya mwisho kabisa
img_20190516_052223-jpeg.1098935
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Time 09:21
Location:ubungo
Ninaelekea bank kutuma hela million Kama moja kwa ajili ya mzigo.niko na bwana E.. tunapopita ubungo nachukua picha za ujenzi wa ubungo interchange..Mara kibendera anayesimamia watu kuvuka ananifuata na kuniambia kwanini napiga picha bila kuruhusiwa
Nikamwambia acha ujinga Kuna SHERIA gani inakataza kuchukua picha au Kuna tangazo wapi la katazo..akaanza kunipandishia na Mimi nikampandishia vilevile aache usoro tukaondoka zetu
img_20190516_092028-jpeg.1099000
img_20190516_092022-jpeg.1099001
1557987778234-jpeg.1099003
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
3,832
Points
2,000
Age
24
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
3,832 2,000
Nimeamka saa 05:38
Kisha nikanywa mchanganyiko wa asali na limau
Baada ya hapo nikaingia katika tafakuri kwa dakika kumi (haikuwa deeply Sana)
KISHA Nika fanya mazoezi
Squats 50
Push ups 40
Kisha nikaoga Kisha kituoni kugombania gari na wananchi wenzanguView attachment 1098936 seat ya mwisho kabisaView attachment 1098935
Una matatizo ya nguvu za kiume ama? Asali na limau?
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Ubungo
Time 09:30
Sky IPO clear hakuna mawingu jua Kali
Naelekea internet cafe kwa ajili ya kumfanyia bwana GJK Application ya kazi katika Coca-Cola company
1557988087107-jpeg.1099008
1557988205477-jpeg.1099012
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Time 09:58
Stori ya ticha fulani
Mwenye baishara yake.
Kaumwa homa ya denge na kapona.hajui Ni mbu wapi wanasababisha.toka udogoni anaumwa na mbu.anasema dalili kubwa Ni kuumwa kiuno.ameishia kupigwa drip.sio poa kabisa ticha anazingumzia kitu kinaitwa "utayari"..kwenye maisha bila juhudi hutoboi.alafu masela wanachukulia poa tu..uwe mjanja ukiona kitu hukiwezi achana nacho..usiige Kuna mwenzako hata akilewa konyagi bapa mchana jua kali ana uwezo wa kufanya kazi ngumu..Ni MUHIMU kuzingatia Sana pombe hazijawahi kumpa mtu adabu Ina shorten tu maisha.ni muda wa kutengeneza CV yako iwe Kama relevants wakati mwingine..
1557991216513-jpeg.1099081
once I break this seal kila jambo litakuwa easy Because I dis connect na kampuni hio.
img_20190516_093917-jpeg.1099051
black vs white
High vs low
Win vs lost
Good vs bad
Usiendelee kufanya hayo!I said don't! don't, don't...it become verdiculars.hali inazidi kuwa tete au nyota inazidi kung'aa..ninaondoka tukiwa na kauli anayoitoa mtalaam wa usalama barabarani Kuwa ukiwa na madeni unakosa freedom.mtu anapokudai hela halafu amekaa kimya hata Kama anajua huna"
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Time:10:42
MABIBO
TO TRANS OFFICER
inathibitishwa kitu ili ufanikiwe lazima ufanye kitu hicho Mara nyingi kadri uwezavyo.kama Ni kujenga afya Basi yawe mazoea yako ya hakikisha unachukua tahadhari kubwa.
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Magimbi+viazi point..dakika tano kutokea niwepo kwenye gengeb na Kisha amekuja mdau wa picha katika location anachukua idea niliyompa.tunaagana
Time 11:50'
img_20190516_115158-jpeg.1099219
img_20190516_113630-jpeg.1099220
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
12:10
Tunafika sehemu ambapo tunakumbuka tukio la mwaka mmoja uliopita.tukio la kuibiwa simu na begi na kibaka fulani ambaye baadae alinirudishia.tulitaka tuikate ile seal ilu tuizike wafu wazikane
Kipindi hiko mkononi tuko na karanga na maji hill
Leo tutakuwa na ibada pia ya kujifunza
Saa sita na nusu tunapata lunch yetu ya kimkakati
img_20190516_122309-jpeg.1099236
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Nakutana na vitabu ambavyo nilipewa zawadi na Shahidi wa yehova mwaka Jana ..broshua zote mbili za maswali ambayo vijana huuliza..nitakirudia kukisoma kitabu hiki lakini kwanza tufanye mazoezi ya viungo.yoga stretches,Kisha tunywe maji Sana Kisha tukafanye ibada
img_20190516_153135-jpeg.1099407
img_20190516_153143-jpeg.1099408
img_20190516_153153-jpeg.1099409
img_20190516_153204-jpeg.1099410
 
moj6

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,220
Points
2,000
moj6

moj6

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,220 2,000
Nakutana na vitabu ambavyo nilipewa zawadi na Shahidi wa yehova mwaka Jana ..broshua zote mbili za maswali ambayo vijana huuliza..nitakirudia kukisoma kitabu hiki lakini kwanza tufanye mazoezi ya viungo.yoga stretches,Kisha tunywe maji Sana Kisha tukafanye ibada View attachment 1099407View attachment 1099408View attachment 1099409View attachment 1099410
Ndugu hicho kitabu cha kwanza ni kizuri sana ,huyu mwandishi ana philosophy ya juu sana,Mimi sio Jehovah witness but nilivutiwa na hayo maandishi ,big up
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Ndani yake sehemu ilipo patika vitabu Kuna CD ya collection ya 40 love songs..naangalia Baadhi ya nyimbo navutiwa nazo Kisha baada ya muda napitiwa usingizi nalala.naamka nakuta missed call ya w mwanamke Kisha nampelekea mzigo wake.baada ya kuongea na Mimi Nampa simu yangu anaangalia picha zangu Kisha anasikiliza wimbo wa wahu sweet love
Time 18:16
Kisha ananipa hela naipeleka sehemu..ghafla tukiwa katika mazungumzo zinakuja taarifa za mwizi kuiba simu katika workshop ya jirani.yeye alimuona Yule mwizi.
Mimi napeleka hela lakini pia naenda kuonana na mwalimu wangu wa kiroho.
screenshot_20190516-181727-jpeg.1099492
 

Forum statistics

Threads 1,294,192
Members 497,843
Posts 31,167,683
Top