Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN


Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
39,294
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
39,294 2,000
Mda wote maji Ni muhimu bila kujali Kama jua Ni Kali au Kuna mvua.target Ni kunywa maji angalau mpaka ukojoe Zaid ya Mara kumi tena utoke mkojo msafi so tunaendelea na huu utaratibu
Mwalimu wangu kupitia tiba za kigiriki anadai ndizi sio tunda zuri sana linachangia ulcers,heartburn matatizo mengineyo..nimemuuliza apple akasema Ni zuri Zaid kwa nchi zenye baridi.lakini tikitimaji ndio best among fruits kutumika around the globe...anyway kwa Mimi bado kijana naweza kula banana ili nikifikisha miaka 40 itanibidi niwe makini sana na ninachokulaView attachment 1095251
Huyo mwalimu wako mgiriki ni mwanaume au mwanamke??
 
Queenever

Queenever

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Messages
1,979
Points
2,000
Queenever

Queenever

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2017
1,979 2,000
Kama Nimeweza kuendelea kuchat na watu kwenye simu na sikuwahi kuchoka kwanini mije kuchoka kuandika maelezo mafupi ya maendeleo yangu ya kiroho,jinsi navyojifunza knowledgeable mbalimbali na jinsi navyotunza afya yangu..nafuatilia sana kwa ukaribu hili Jambo Kuna kitabu pia ambacho nakiandika ambacho Baadhi ya hoja zake zitatokana na muendelezo wa hii story yangu
Good. Maono yako yawe kama utakavyo. Mana nacho ni kipaji
 
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
760
Points
1,000
Age
21
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
760 1,000
Big up brother all the best wengine hapa bado tunaandika kwenye diary...si kila mtu anafurahia unachokifanya nimeikubali spirit yako.
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Big up brother all the best wengine hapa bado tunaandika kwenye diary...si kila mtu anafurahia unachokifanya nimeikubali spirit yako.
Nashukuru mwenyeziMungu.naandika mengine pia katika journaling manually baada ya ushauri wa member fulani.mimi naamini sifanyi hivi kwa ajili ya kumfanya fulani afurahi.nataka nionyeshe knowledge inatakiwa isambazwe sio ifichwe.mimi mwenyewe nafanya chochote kizuri ambacho kitanipa faraja
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Time-10:40
Location-bagamoyo
Naenda kuonana na mtu wangu wa karibu anayeitwa G.J.K
Huyu bwana ananiomba msaada wa kuapply kazi katika kampuni ya Coca-Cola
img_20190515_104237-jpeg.1098282
anaomba as a fleet team Manager hatufanikiwii kufanya application kwa sababu ya kutokuwepo umeme..pembeni ya tulipokaa Yuko mwanamfyale kutoka mbeya ambaye anatunulilia samaki.
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Baada ya mwanamfyale kuondoka anakuja mwanamke mtumiaji wa madawa ya kulevya wa kujidunga ambaye Mimi nakutana naye kwa Mara ya kwanza pale lakini nimekuwa nikimfahamu toka zamani Sana kwa sababu amekulia mkoa ambao Mimi nimetokea...GJK Ana mfahamu huyu mwanamke Ni teja ana watoto wawili..huyu mwanamke anaomba aongee na Mimi pembeni..Bwana GJK anatuacha na anatuaga.ilikuwa Ni mida ya saa 12:45.
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Huyu mwanamke Teja jina lake fei ananiomba sana nimpe msaada fulani so ananipa simulizi lake na historia yake toka aanze kazi Arusha hadi alipoenda Zanzibar ndipo akajifunza kula unga.anasema yeye alipata bwana msenegal ambaye alikuja kufanya kazi kwa mzungu fulani hukuhuku Tanzania huyo bwana walispend naye sana maisha miaka ya mwaka 2007 anasema ndipo huyo bwana siku moja alikuja na mzungu mwingine Kisha wakafanya Mambo fulani ya ajabu sana.walienda kupanga hotel moja Zanzibar
Huyu mwanamke Teja fei ananiomba nimsaidie Jambo fulani ambalo linamsumbua Sana moyo wake
Time:mida ya saa Saba
Location:msasani karibu na Masai
Tunaondoka naye kutoka bagamoyo na kuelekea msasani na tunafanikisha lile Jambo japo Kuna changamoto kadhaa bado zipo..alinishukuru sana fei na nilimuomba nipige naye picha Kuna Mambo mengine aliniambia ambayo nadhani sio vizuri kuyaweka hapa Ni Mambo ya kiafya Zaidi.. anyway baada ya kutoka msasani nilielekea kawe kwa ajili ya kuulizia Jambo fulani la kikazi yangu binafsi na nilipopata msaada niliondoka kwenda katika ibada na mtu wa MUNGU fulani
screenshot_20190515-144549-jpeg.1098297
mwanamke mwenyewe ndo huyu hapa picha yake nimeiwekea weusi ili asionekane vizuri
Nikamsaidia na nikampa na kitu fulani na nikampa na mawasiliano yangu Kisha nikawasiliana na mwanasheria fulani rafiki yangu ambaye na yeye akatupa ushauri wake juu ya lile Jambo ambalo tumeamua kumsaidia fei
 

Attachments:

ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Nilipokuwa njiani nilikutana na wamam wawili ambao waliniita na kuniomba niwalekeze namna gani watafika mabibo.hawa wamama wakawa wanahadithiana juu ya watu fulani wawili wakisema wameenda mbinguni.wa kwanza Ni mwanamke lakini jina lake sikusikia wakilitaja mwingine Ni marehemu tajiri mengi.niliachana nao Mimi nikaenda safari zangu
Njiani Nika pata watermelon kipande
img_20190515_131150-jpeg.1098305
tofauti na Yale yenye mbegu laini haya Ni yale yenye mbegu ngumu nyeusi yako vizuri sana
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Kabla ya ibada niliamua kufanya mazoezi ya squats 50..Kisha nikaoga Kisha nikapata chakula
img_20190515_135656-jpeg.1098307
dona+majani ya maboga+maharage
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Nikiwa naelekea njiani katika ibada napata tangazo la kuahirishwa kwa ibada yangu na napigiwa simu nikafanye kazi nyingine ya kuwasaidia wamama wawili..kazi yao Ni ndogo Sana naenda kuifanya kisha mida ya saa Tisa naenda kununua dawa fulani ambazo natakiwa nizisambaze haraka.
 

Forum statistics

Threads 1,294,205
Members 497,843
Posts 31,168,260
Top