Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN


ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Huu Ni uzi wangu maalumu kwa ajili yangu kupost kila jambo nitakalokuwa nalifanya katika dunia ili kuweka kumbukumbu ya safari ya maisha yangu na jinsi ninavyopokea maelekezo kutoka kwa mwenyeziMungu.chochote nitakachokuwa nakifanya nitakiandika hapa na ikiwezekana nitaweka picha ya tukio,kitu au sehemu nilipo.Ni idea ambayo itaniwezesha sana Mimi kuyatumia maisha yangu vizuri.kama Kuna swali ambalo utapenda kuniuliza nitalijibu kama nitaona inafaa ila kama sitalijibu Basi ujue nimeona halifai.kwa hiyo kifupi lifestyles yangu yote nitakuwa Niki share katika Uzi wangu.
Kwa Mara nyingine nitumie Uzi huu huu kujitambulisha Zaidi kwa kuweka baadhi ya picha zangu lakini nitazi crop
screenshot_20190512-145950-jpeg.1095219
screenshot_20190512-145714-jpeg.1095220
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Uzi umeshaenda hewani na tunaanza safari ya maisha Kama ifuatavyo.sasa hivi Ni saa kumi jioni naenda kwa mwalimu wangu ambaye ninacheza naye tennis kila siku.sina uhakika Kama tutacheza kutokana na Hali ya hewa Kuwa na manyunyu.anyway ngoja nikamcheki tuone Kama tutacheza au la
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Mda wote maji Ni muhimu bila kujali Kama jua Ni Kali au Kuna mvua.target Ni kunywa maji angalau mpaka ukojoe Zaid ya Mara kumi tena utoke mkojo msafi so tunaendelea na huu utaratibu
Mwalimu wangu kupitia tiba za kigiriki anadai ndizi sio tunda zuri sana linachangia ulcers,heartburn matatizo mengineyo..nimemuuliza apple akasema Ni zuri Zaid kwa nchi zenye baridi.lakini tikitimaji ndio best among fruits kutumika around the globe...anyway kwa Mimi bado kijana naweza kula banana ili nikifikisha miaka 40 itanibidi niwe makini sana na ninachokula
1557668567631-jpeg.1095251
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Kabla ya mazoezi tunafanya kwanza yoga stretches kwa ajili ya Kuwa fit Zaidi tumekuwa pamoja na watu watano na tumefanya angalau mwanzo mzuri.magonjwa yote na shida zote zinaletwa na uzembe na kula vibaya.tunapiga Vita vitambi kwa kufanya mazoezi ili kuondoka kwenye hatari ya kupata kisukari na pressure.
Mazoezi yameenda vizuri na kwa mafanikio Mungu amesaidia pamoja na kwamba Ni masika tumeweza kutoa jasho.
Angalau kidogo kwa nusu saa au li saa tumeweza kupata faraja.haya ndiyo maisha ya kuishi maisha Kama vile mbinguni..so there are physical paradise, mentally paradise na spiritual paradise.nusu saa kwa workout yenye kutoa jasho inatosha kabisa kuweka mbali mawazo.
The perfect game kwangu ni tennis.no injuries,full blood circulation,full participation,full body concentration na hakuna kuchoka.so kesho tunaendelea na tuna imani utapatikana muda.
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
View attachment 1095364 so katika kuendeleza kujifunza Zaid knowledge tunachukua vitabu mbalimbali
Tumsome plato
Baha'i;kitab-iqan
Dhammapada
Sahih bhukhar
Al ilham
Tuzisome na quotes za mahatmma Gandhi tunamthamini sana tunachukulia Kama Ni most successful man katika history
screenshot_20190512-190912-jpeg.1095365
bhaghavad in English
Pamoja na guru granth sahib

Tanakh ya Jews tunaingiza katika list.ambacho ninataka katika kujifunza walahu nijue kiundani dini nyingi
screenshot_20190512-190826-jpeg.1095372
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
25,821
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
25,821 2,000
Kweli mrefu unastahili kujiita ndege John
 
Nemo Judex

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Messages
1,832
Points
2,000
Nemo Judex

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2014
1,832 2,000
Mkuu ile chai uliyotunywesha vipi bado ipo kwenye themosi, maana ulituhaidi unafunga akaunti yako,anyway kila la heri kwa hiyo idea yako
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,102
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,102 2,000
Mkuu ile chai uliyotunywesha vipi bado ipo kwenye themosi, maana ulituhaidi unafunga akaunti yako,anyway kila la heri kwa hiyo idea yako
Haikuwa chai
Nilidhamiria kufanya hivyo lakini Kuna wazo nikapata nadhani natakiwa nisahihishe Zaid napokosea Kuliko kuanza upya.kuna mambo yalinisumbua akili lakini kila kitu kipo sawa.hii idea ya Uzi huu imekaa vizuri Ni fursa kwangu ya kurecord kumbukumbu zangu nzuri ili iwe rahisi kujifanyia assessment nafikiria kuzdi kuboresha.nina nafasi nzuri sana huku ninapoishi nataka kuitumia kwa ajili ya kujifunza the universal Truth ili kabla sijafa niwe nimeenda stage ya mbali.shukrani kwa kupokea wazo langu positive siku zote utabaki Kuwa mtu wa MUNGU
 

Forum statistics

Threads 1,294,192
Members 497,843
Posts 31,167,683
Top