Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Leo nimekutana na watu wawili wa kwanza namwita top manywele kanionyesha njia ya kutokea fursa kubwa ushauri wake wa kielim ntaufanyia kazi
Mtu wa pili Ni Hassan mlezi kaniambia ukitaka kufanikiwa na mambo yako yawe mepesi basi fanya kazi na Mungu Kisha mrudie kwa sala...
Msisitizo upo kwa kisa Cha we idd Mubarak...
Katika gari Nika experience kitu kizuri Sana tufanye kazi na Mungu
Time 14:40
 
Siku ya Leo ilikuwa mbaya Sana matatizo yalikuwa Mengi usalama mdogo
 
02:46 night
Screenshot_20190528-024619.jpeg
 
Maisha na mziki
Katika playlist yangu hutamkosa songa,ghetto na kad go namkubali usipime
Nimemiss killinge Cha msasani B Na mwaka Jana freestyle rap battle ya micasa ya Riverside tulifanya kidogo Sanaa hii nimesikia wamehamia micasa ta magengeni sijui Kama kinaendelea nifuatilie aseeView attachment 1095474 hii Ni official hii Ni show nzito..unataka kucheza njoo disco haijalishi unatoka kariakoo or Miko cheni..songa mtata View attachment 1095475 niliyatafuta ya dunia, Sasa nimeyaacha nautafuta upendo usionitupa right here.....View attachment 1095477RIP LEGENDARIESView attachment 1095478beat lake zuri na ubunifu wake unanikoshaView attachment 1095476
Mengine yote ni extra, ila kama huwa unahudhuria Micasa kwenye freestyle CRB tuko pamoja, japo ni miezi kadhaa sijahudhuria sababu ya kuwa mbali.
 
Asubuhi
Kazi kazi + kujiongeza

Babu makuku+muuza frem
Lakini sijui Kama Ni kosa tumefanya kutopita ile njia..anyway bado tumekosea tena ile sight
Baadae kabisa tumeendelea Kisha mikakati ilifanyika
Location:bahari ya hindi
 
Broo watu waliyoyatabiri naona yanaenda kutokea ulianza kwa kasi ila ukapunguza mpaka sasa imeisha kabisa No updates kabisa mkuu vp nn kimekusibu.
 
Broo watu waliyoyatabiri naona yanaenda kutokea ulianza kwa kasi ila ukapunguza mpaka sasa imeisha kabisa No updates kabisa mkuu vp nn kimekusibu.
Kuna mambo tunaweka sawa tunataka tuendelee na tulipoanza updates zitaendelea baada ya muda mfupi
 
Jumanne kubwa
Mimi+fundi +side simba... fundi mwenye uwezo baada ya safari mbili za sala tofauti ya urais na ugumu inaonekana..Sasa tumeshika Jambo moja tu
 
Time 05:08
Kuchukua udhu sala ya fajr
Tunataka tupite ktk njia njembamba
Kwanza usafi Ni Jambo la kwanza ... msisitizo Ni usafi baadae wa eneo la sala
 
Hahaha unanikumbusha zile intervyuu za madem wa humu, mshkaj 1 kaona yeye haitwi kuulizwa..kajiintarview mwenyewe uzi ukajaa msswali na majibu yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom