Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Nov 25, 2021 #1,294,321 1. Kila hatua kubwa mwanzowe huwa muhali kimuono.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Nov 25, 2021 #1,294,322 2. Historia ni marudio yasio na mwisho ya makosa katika maisha ya Mwanadamu.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Nov 25, 2021 #1,294,323 3. Watu pekee wa kuishi nao ni wale wenye mafaniko, kwani hakuna aliye na haja ya ushindani.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Nov 25, 2021 #1,294,324 4. Pindi mtu atakapokosa anachohitaji hana budi kukubali kilichopo hata kama si bora.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Nov 25, 2021 #1,294,325 5. Usiazimie kuwa rafiki ya wabaya, wasipo kudhalilisha, watakusimanga.
Thad JF-Expert Member Mar 14, 2017 13,363 31,505 Nov 25, 2021 #1,294,328 moudgulf said: View attachment 2023290 Click to expand... Hapo lazima uwe mpole
myoyambendi JF-Expert Member Sep 13, 2013 147,972 657,318 Nov 25, 2021 #1,294,329 Usiku uwe mwema kwetu wote..
myoyambendi JF-Expert Member Sep 13, 2013 147,972 657,318 Nov 25, 2021 #1,294,330 Uwe usiku wa maziwa na uji
myoyambendi JF-Expert Member Sep 13, 2013 147,972 657,318 Nov 25, 2021 #1,294,331 Usiku wa kupeana jotojoto
myoyambendi JF-Expert Member Sep 13, 2013 147,972 657,318 Nov 26, 2021 #1,294,334 Ijumaa iwe njema na ya amani..
myoyambendi JF-Expert Member Sep 13, 2013 147,972 657,318 Nov 26, 2021 #1,294,335 Mungu atupe afya na uzima..
A antimatter JF-Expert Member Feb 26, 2017 44,652 120,188 Nov 26, 2021 #1,294,340 Siku njema huonekana asubuhi