Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ikiwa una nia ya kumpinga au kumshtaki mtu yeyote.Kabla ya kumpinga na kueleza matatizo ya hotuba na tabia ya upande mwingine, kwanza toa maelezo mafupi ya mema yake, mazuri yake na uwezo wake, ambayo humfanya ahisi kama wewe ni rafiki KWake na SI Mpinzani KWAKe.Na hivyo atakuwa tayari kusikia maneno yako.
 
Back
Top Bottom