Tumefika salama nyumbani Nigeria, wachezaji wetu 4 na viongozi 3 waliodaiwa kuwa na maambukizi ya corona wako salama.
Wamepinwa tena hapa wameonekana ni wazima wa afya.
Tunadhani zilikuwa njama za wapinzani wetu.
Tunasubiri ratiba ya wageni wetu Yanga,
Walivyotupokea ndivyo Tutakavyowapokea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.