myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 149,576
- 663,021
Barabara inataka uangalifu sana, poleni wa bajaji , bodaboda na daladala
Mvua maeneo mengi ya nchi....Mvua ya kutosha
Nashukuru bro, tumeshaingia kumi la mwisho.
Nakutakia kila la kheri kwenye Laylatul Qadir bro.
Wakulima wote tunawapa pongezi sana..
Mungu awaponye wagonjwa wote
AminMungu atupe afya na uzima