Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1607101569800.jpg
 
Ukienda gest yule attendant anajua chumba furani watu wanakulana na mwenyewe alishapekecha vitobo vya kuweka jicho ili upige chabo.
Hao jamaa wa gest na wenyewe waliathilika na hayo mambo
Ilikuwa ni mwendo chabo tu bro
I see. Kwa hiyo huyu mhudumu wa guest nae ni member au mnamlipa kwa kuwapeni hiyo access. Duniani kila mtu aachwe na starehe yake.

Kuna jamaa kaja na uzi kuwa anapenda sana kubambia wadada kwenye mwendo kasi. Gari kama haijaja hapandi
 
Huyo jamaa alikuwa lazima umlipe maana alikuwa hataki fujo.
Maana kile kitaa watu walikuwa wanapenda kitonga wateleze
 
Tuliza mzuka binti we are to socialize. Sometimes don't take life too serious utapata ugonjwa wa moyo. Enjoy your time though
Nadhani mtafaruku wenu umeanzia hapa. Wewe unakwoti kila posti unayokutana nayo humu na kucomment kwenye post hiyo. Kuna wengine huwa hawapendi kukwotiwa hivyo kwa sababu akija kuingia JF anakutana na notifications kibao amekwotiwa halafu hakuna la maana; na hii inawakera.

Ili kuepuka mitafaruku hii, mkwoti mtu mahali ambapo kweli kuna post imekuvutia na unataka kuchomekea utani wako pale na kama siyo lazima kukwoti basi gonga likes tu halafu usepe. Vinginevyo nawe weka post zako na watu wagonge likes, wanaonogewa wanakukwoti hapa na pale, mnacheka na maisha yanaendelea.

Tupo hapa ku-socialize tu lakini pia kuna wengine wako siriazi na tuko na haiba tofauti tofauti. Ndo jamii na inabidi tuvumiliane. I hope nimesaidia kidogo kamanda
 
Thanks bro. But this is open platform mtu anaweza fanya chochote anaona kiko swa whether you like it or not. Hata aliyeanzisha huu uzi hayupo hapa and there is no such rule kwamba tuandike nini au kuquote nini? Cha muhimu uwe na bandle lako, simu yako, muda wako then you can do whatever you think it's better. Kama mtu hataki kukubaliana na akili za kila mtu ambaye humjui uchizi wake wakachat PM. Wengine tupo hapa kubuy time na hii lockdown JF inasaidia muda usonge. We don't need to take things seriously bro. Unachopenda wewe naweza mimi nisikipende so tuvumiliane tu ndio ubinadamu mzee. Cheers!!!!
 
[TAXI DRIVER - Mlimani Park Orchestra]

Taxiiii! taxiii!

Mama Jacqueline ninajua ni nini kinachokunyima raha,
Ahhh mama Jacqueline,
Ninajua ni nini kinachokukondesha,
Ninajua ni nini kinachokukondeshax2

Maamaa Jacqueline usisahau kuwa kazi yangu ni taxi driver

Usisahau abiria si wa aina moja eeh (mama watoto)
Awe mwanamke , awe mwanamume
wote ni abiria wangu eeeh
Mimi ni taxi driver!

Kazi yangu mimi mwenzio isiwe sababu au kisingiziooo
Kuwa hii siyo taxi bali ni gari ya kubeba vimada,

Usisahau abiria wangu si wa aina moja ..

Rudi mwanzo
 
[CLARA – Mlimani Park Orchestra]

Ninajua mwenzangu karibuni utatoka hospitalini,
Utokapo tafadhali,
Fika mjini umtafute mpaka umuoneee,
Mchumba wangu Clara, mchumba wangu Clara x2

Kibwagizo:

Nyumbani anakoishi,
Ni Msimbazi kota,
Ukimuona mpe salamu nyingi sana,
Mueleze mchumba wako Kitwana,
Anakusalimuuuu

Kama hajasikia eeehx2
Ajali iliyonipata,
Nimekuwa kilema,
Na kilema isiwe kisingizio cha kukosa kuja kuniona,

Tafadhali ukimuona muulize kama kweli Clara yuko radhi,
Niteseke hospitali eeh,
Kwa maradhi bila kunijulia hali,
Kwa maradhi bila kunijulia hali ( oooh mama najuta )

Rudi mwanzo
 
[Shemeji Yangu Issa - Mlimani Park Orchestra]

Shemeji yangu leo mbona u-mkimya
Na huku umejiinamia
Kwani si kawaida yako kuwa hivyo
Leo Kuna nini hapa nyumbani

(Sista kwa huzuni anajibu.......lakini yamenitoka.Baadaye anasema hivi)

Vitendo alivyofanya kaka yako Issa
Ni vya huzuni na ni vya kusikitisha
(Sijui alifanya nini huyu Njemba)

(Chorus)
[Wote]

Mnatusema sisi wanawake wabaya
Mnatusema sis wanawake wabaya

[Mmoja]
Kama mimi ndio ningefanya hivyo
Sijui ingekuwaje .......Shemeji yangu Issa....a

[Wote]
Mnatusema sisi.........

Rudi mwanzo
 
Thanks bro. But this is open platform mtu anaweza fanya chochote anaona kiko swa whether you like it or not. Hata aliyeanzisha huu uzi hayupo hapa and there is no such rule kwamba tuandike nini au kuquote nini? Cha muhimu uwe na bandle lako, simu yako, muda wako then you can do whatever you think it's better. Kama mtu hataki kukubaliana na akili za kila mtu ambaye humjui uchizi wake wakachat PM. Wengine tupo hapa kubuy time na hii lockdown JF inasaidia muda usonge. We don't need to take things seriously bro. Unachopenda wewe naweza mimi nisikipende so tuvumiliane tu ndio ubinadamu mzee. Cheers!!!!
Miye nilikuwa najaribu kukufanulia tu kuhusu huo mtafaruku uliotokea - jambo ambalo siyo la kawaida katika huu uzi japo huwa linatokea sometimes. Ila huwa tunasameheana na kusonga mbele....

Ndiyo lockdown inaboa kichizi na hii kufanyia kazi nyumbani aisee siyo lelemama. Yaani JF hapa ndiyo kimegeuka kijiwe cha kupotezea muda. Ngoja tuone haya ma-vaccine yao kama yataleta unafuu. Take care of yourself and your loved ones mpaka mambo yapoe bro. Mungu Atulinde tuvuke salama . Cheers too
 
Back
Top Bottom