Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,858
- 14,732
I see. Kwa hiyo huyu mhudumu wa guest nae ni member au mnamlipa kwa kuwapeni hiyo access. Duniani kila mtu aachwe na starehe yake.Ukienda gest yule attendant anajua chumba furani watu wanakulana na mwenyewe alishapekecha vitobo vya kuweka jicho ili upige chabo.
Hao jamaa wa gest na wenyewe waliathilika na hayo mambo
Ilikuwa ni mwendo chabo tu bro
Kuna jamaa kaja na uzi kuwa anapenda sana kubambia wadada kwenye mwendo kasi. Gari kama haijaja hapandi