Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,335
- 1,077,949
kwa mbaaali namuona Stella anatunukiwa tikiti ya kupanda mwewe wa mabeberu... Kweli ongea vizuri na watu upate vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko poa rafikiMkuu nimeamka na hapa nipo nachapa mzigo kwa ofisi ya home.
Vp kwa upande wako, Je uko poa?
Hivi Ni kwamba kweli huji kunisalimia hapa mabatini ankoo?Dahh!!
Anko nisamehe bure, itabidi nijitandike vibao mwenyewe
Acha niongee na Stella kama atanitangulia nimtwishe mzigo. Au la next week nitakuwa huko. Naacha utani kwenye vitu vya msingi Anko.
Nisamehe mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Vingi Sana Hadi najutaUkiacha Virai Na Vishazi Ni Kitu Gani Kingine Kimekupotezea Muda Wako Kipindi Upo Shule?
Lakini melo ndugu yakoHata mimi kwangu inanigomea sijui shida nini aise
Suluka ntakapera tujobheView attachment 1400217
Kumbe ni maparachichi
Ni jambo jema. Mungu ni tumaini letu wakati wote
Duh h!Pata ile kitu roho inapenda shemeji. Maisha menyewe haya mafupi sana
View attachment 1400178
🙏🙏Baba usinichoke mja wako
Roho i radhi lakini mwili u dhaifu...
Yaani kama hiviView attachment 1400184
Sent using Jamii Forums mobile app