Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,249
Siku ya siku usije ukanisingizia miye eti ndo nimekusababisha ukaenda kwenye etano faya. Yu a resiponsibo fo yua ekishenziIla kweli, haya mambo ya kujinyima nyima haya... Ukute hutu tupicha ndio kibali cha kuuona ufalme wa mbinguni
Nimekuibia tupicha twingi tu... Yaani naokoka naanguka naokoka tena. Kama leo nahisi nimeanguka tena... View attachment 1400182
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀
Baharia kalikoroga dah !!!
Mimi nikienda kuchangia nitaharibu hali ya hewa, leo nimechoka sana sijisikii kabisa kuchangia threads za kuniharibia mood
Siku za mwizi ni 40😀😀😀Baharia kalikoroga dah !!!
Siyo poa kabisa aisee....
hahahaha, haya.Mimi nikienda kuchangia nitaharibu hali ya hewa, leo nimechoka sana sijisikii kabisa kuchangia threads za kuniharibia mood
Sent using Jamii Forums mobile app
kuchomeshwa mahindi na ankoo? Tumeshasameheana bwanahahahaha, haya.
Pole sana kwa kuchomeshwa mahindi.
Halafu nina wazo tofauti kuhusu huyo 'demu'. Hisia zangu zinaniambia hata sio ke, kama ni ke ni memba wa zamani mwongo mwongo ambae ameamua tu kutafuta attention. Hebu angalia jina analotumia, amejiunga December 31 na mpaka sasa ameshaanzusha nyuzi karibia kumi, hiyo 'mimba' imeshafunguliwa thread kama mbili (who does that especially kwenye hizi jamii zetu za kiafrika???) Leo kaja na hili la baby daddy na kudai yuko heartbroken, kesho atasema stress zimesababisha apate miscarriage, mpaka hapo keshafanikiwa kuwateka.hahahaha, haya.
Pole sana kwa kuchomeshwa mahindi.
Bwana Alitoa,Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe
Neema za Muumba... Dunia na mapambo yakeSiku ya siku usije ukanisingizia miye eti ndo nimekusababisha ukaenda kwenye etano faya. Yu a resiponsibo fo yua ekishenzi
View attachment 1400219
Kuna faida yo yote atakayopata kwa kufanya hivi? Attention ya hapa JF inasaidia nini? Au ni kiki za kujipatia mabwana au ni nini?Halafu nina wazo tofauti kuhusu huyo 'demu'. Hisia zangu zinaniambia hata sio ke, kama ni ke ni memba wa zamani mwongo mwongo ambae ameamua tu kutafuta attention. Hebu angalia jina analotumia, amejiunga December 31 na mpaka sasa ameshaanzusha nyuzi karibia kumi, hiyo 'mimba' imeshafunguliwa thread kama mbili (who does that especially kwenye hizi jamii zetu za kiafrika???) Leo kaja na hili la baby daddy na kudai yuko heartbroken, kesho atasema stress zimesababisha apate miscarriage, mpaka hapo keshafanikiwa kuwateka.
Ni mtazamo wangu tu naweza kuwa sahihi au sio sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee yawezekana una pointi. Kuna walakini ila kwa vyo vyote vile yaonekana ni fyekero....Halafu nina wazo tofauti kuhusu huyo 'demu'. Hisia zangu zinaniambia hata sio ke, kama ni ke ni memba wa zamani mwongo mwongo ambae ameamua tu kutafuta attention. Hebu angalia jina analotumia, amejiunga December 31 na mpaka sasa ameshaanzusha nyuzi karibia kumi, hiyo 'mimba' imeshafunguliwa thread kama mbili (who does that especially kwenye hizi jamii zetu za kiafrika???) Leo kaja na hili la baby daddy na kudai yuko heartbroken, kesho atasema stress zimesababisha apate miscarriage, mpaka hapo keshafanikiwa kuwateka.
Ni mtazamo wangu tu naweza kuwa sahihi au sio sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app