Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,377
- 205,773
πππSina wivu ila roho inauma.
πππSina wivu ila roho inauma.
#namauayatasinyaatuπββοΈπββοΈ usimalizie hashtag ya Carb
Raha za Queen na KingUsiku wa kupeana raha ndio huu
#sioanajifunzaNaona unajifunza uTRM
#ndiokwanzatunaanza
#kuachanasahau
Umeshindaje lakini maana nimechelewa kukuona hapa leoππ Karibu sanaaa my king,
Imeenda vyema pia, namshukuru MuumbaSalama kabisa, natumaini na kwako pia
Kibaridi cha mvua kinawapelekaje?
Ha wa yuuni watu wa familia hii
Anashindana na wabongo kumwaga povu?Ukifatilia wambea tu utapata ubuyu wake wote. Wambea wanamshushua kuhusu tarehe ya kuzaliwa mtoto basi nae anamwaga povu balaa. Hapo kambeba mtoto anasema ni wa wiki mojaView attachment 1229046View attachment 1229048
Alhamdulillah ningeSalama carba, habar za uzima
Hlf eti ndio ww huyo mwenye hako ka pilau