Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,267
- 1,096,024
“Katika miaka yangu mitano na nusu, siku tano za mwisho zilikuwa ngumu sana kwangu, katika soka kufungwa mabao 7-2 na 3-0,” alisema Pochettino.
#AsUsually
#AmaniIpo
mpendwa we acha tuHahahaha mkono uko wapi wapendwa
Hehehe shost una kumbukumbu,umemzidi hata milly aliyemchamba zari kupost taarifa ya msiba wa maza ake nae juzi karudia yale yaleJukwaa la mapishi
#umenikumbushamkonowamentor
Hehehe shost una kumbukumbu,umemzidi hata milly aliyemchamba zari kupost taarifa ya msiba wa maza ake nae juzi karudia yale yale
Tulia basi nataka kukununulia ule mkorogo wa 60000
Niwacheee
daah!Tulia basi nataka kukununulia ule mkorogo wa 60000
Atiii...?
Huyo jamaa kuna siku mlinichonganishanae akanifata adi PM kuulizia kiganja kama ni changu kweliJukwaa la mapishi
#umenikumbushamkonowamentor
Huyo jamaa kuna siku mlinichonganishanae akanifata adi PM kuulizia kiganja kama ni changu kweli
Dah mpira umeisha mapema huku zingine tulitunza jukwaa la mapishi
#IMissULedada
😂 😂 😂 unataka nijute kukumiss sasa maana huo ujio wakoKiganja hiki
Shukran kwa zile picha alizoweka zenye kucha ngumu
unataka nijute kukumiss sasa maana huo ujio wako
#Ndiohichohicho