Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,377
- 205,773
🏃♂️Mlibaki wangapi?
🏃♂️Mlibaki wangapi?
Hahahaha mkono uko wapi wapendwamsiniulize mimi nimeifanyia nn
DavetBae wa uzi yaani Bradha? 😀😀😀
#AsUsually
#yameisha
#hopehujakwazika
Ule mkono nikajua wa Ningendako ngoja nikaucheki tena 😀😀😀wapendwa kumbe mnatupia zenu za ukweli vizuri sana.Davet
Dah mpira umeisha mapema huku zingine tulitunza jukwaa la mapishi#AsUsually
#AmaniIpo
Jukwaa la mapishiDah mpira umeisha mapema huku zingine tulitunza jukwaa la mapishi
#IMissULedada