Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,212
- 1,077,431
Aaa wapi! Uchuro wa binadamu tu. Sala za wafu mai futi. Yaani wewe uishi maisha ya hovyo ya kibaharia halafu ufe watu ndiyo wakuombee uende mbinguni? Thubutuuu!!!Watakuombea, eti wanadai hivyo