moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,831
- 691,374
Mechi ya kibishi inaendelea..
Leta vitu leta vitu Esta😀😀😀Yamenikuta mwenzenu.....
hebu tulia kwanza hesabu 1 mpaka 100,,, halafu tuambie yaliyokusibu,,NB Kukimbia tatizo sio suluhisho.....www.jamiiforums.com
Aisee yaani dah hivi huu utawala una laana si bure huku sio Kujipendekeza kumepitiliza,yaani wanacheka mama amepiga magoti .
Hongera zao.Liver yashinda kwa penalty 5-4 baada ya suluhu ya 2-2.
Chelsea msimu unaanza vibaya...Hongera zao.
Sinayo bro,Bro. Umekosea. Emoji wanayotumiaga TRM wenzio ni hii
Hizo hashtag nilikuwa natest zali tu. Nilijua utakuja. Na Mkatalunya mmoja japo yeye sijamuona....Sinayo bro,
hiyo ndiyo inayokaribia
Imekuwaje? Nini kimempata Hawachi mpendwa wetu? Au ni ile ishu ya mapicha "ya kutisha" ya jana; na mengineyo?