myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,808
- 657,057
Chelsea walicheza mpira mzuri sana ni vile bahati haikuwa upande wao.Hatimaye..View attachment 1181774
Chelsea walicheza mpira mzuri sana ni vile bahati haikuwa upande wao.
hahahahahahaha, poa bro.Hizo hashtag nilikuwa natest zali tu. Nilijua utakuja. Na Mkatalunya mmoja japo yeye sijamuona....
Yeah, niliona unaweka vitu nikamkumbuka.Imekuwaje? Nini kimempata Hawachi mpendwa wetu? Au ni ile ishu ya mapicha "ya kutisha" ya jana; na mengineyo?