carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,522
- 285,457
Kheri tu.Kwema mpendwa, vipi za siku mbili tatu?
Sijui upande wako
Kheri tu.Kwema mpendwa, vipi za siku mbili tatu?
tena kwa # kabisakajiwahi mpaka katushangaza wananzengo
Kamati imeshaamua kama hataki athibitishe si vyaketumeshapitisha ni chake hicho
eti mitihani.Harakati za Pimbi
Mimi ni zaidi, nilitarajia nikutafute kabla ya Idd lakini kuna kakaako humu akasema upo kwenye mitihani na haukuwa hewani.
Nimefurahi sana
kamati ya kuzoom picha imekubaliana kuwa hivi ni vidole vyako hadi pale utakapothibitisha vinginevyohahahahahahahahah
Kinaonekana kabisa sio changu.Hamna haja ya kuprove
Habari za masiku?
Salaam carba
Salama kaka ake.Safi habari za siku dadake
Jirani hujambo? hongewa sana...tena kwa # kabisa
Bhanaaa eeeh!!Heheheee
#ningekwambiajiraniamsoreee
#ilaningefaidikuchazileuwiiifullmpapaso
Wakubwa mnafaidi
#Namiminingefaudupalekifuani
#fullkuchomwachomwa
#nawafuatiliakwamakini#Heheh!
#siwezikusahaumilele
#
Habari yangu ni njema ila unataka kuitibua.Yale ya jana yashapita bana 😃 .kamati ya kuzoom picha imekubaliana kuwa hivi ni vidole vyako hadi pale utakapothibitisha vinginevyo
Salama kabisa,habari yako.
Sijambo jirani.Jirani hujambo? hongewa sana...