myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 150,786
- 667,479
SawasawaUsitafute mchawi hali ni ngumu nchi nzima
SawasawaUsitafute mchawi hali ni ngumu nchi nzima
NakubaliHakikisha Maneno Na Chuki Zao Hazikuyumbishi Kamwe
Ni kweliHakikisha Maneno Na Chuki Zao Hazikuyumbishi Kamwe
SawaUvumilivu Tuliotumia Kuivuka Jana Iliyobebwa Na Magumu,Ndio Umetupa Ujasiri Mzuri Wa Kuendelea Kupiga Hatua Mbele Zaid..
✔️Kiburi si maungwana.
Arrogance is not gentlemanly.
SawaUvumilivu Tuliotumia Kuivuka Jana Iliyobebwa Na Magumu,Ndio Umetupa Ujasiri Mzuri Wa Kuendelea Kupiga Hatua Mbele Zaid..
✔️✔️Kidole kimoja hakivunji chawa.
One finger canot kill a louse.
✔️✔️✔️Akili Kubwa Hujadili Mawazo, Akili Za Wastani Hujadili Matukio, Akili Ndogo Hujadili Watu
KweliAkili Kubwa Hujadili Mawazo, Akili Za Wastani Hujadili Matukio, Akili Ndogo Hujadili Watu
SawaAkili Kubwa Hujadili Mawazo, Akili Za Wastani Hujadili Matukio, Akili Ndogo Hujadili Watu
InawezekanaHakuna watu waliolichukulia serious hili Swala la Kimbunga kama TANESCO
SawaMkumbushe Mwanao Kuwa Marafiki Wazuri Ni Kama Nyota, Huwaoni Kila Wakati, Lakini Unajua Wapo Kila Wakati.
✔️✔️✔️Shida ikiwa kwa mwenzako huwezi kuona kama ni tatizo kama ambavyo shida hiyohiyo ikiwa ndani kwako…..
📌📌Mkumbushe Mwanao Kuwa Marafiki Wazuri Ni Kama Nyota, Huwaoni Kila Wakati, Lakini Unajua Wapo Kila Wakati.
📌Shida ikiwa kwa mwenzako huwezi kuona kama ni tatizo kama ambavyo shida hiyohiyo ikiwa ndani kwako…..
📌📌📌Shida ikiwa kwa mwenzako huwezi kuona kama ni tatizo kama ambavyo shida hiyohiyo ikiwa ndani kwako…..
📌Kila Tumuombapo MWENYEZI MUNGU, Ni Vyema Kumuomba Atujaalie HEKIMA Ya Kuona BARAKA Zetu Kuliko Magumu Tunayopitia.
📌📌Hakuna watu waliolichukulia serious hili Swala la Kimbunga kama TANESCO
👍Kuwa na furaha siyo kwamba kila kitu kipo sawa lakini ni kwa sababu unaona upande wa mazuri upo karibu yako.